Pages

Subscribe:

Blogroll

Jumatano, 30 Julai 2014

MWANAMITINDO NENE LEAKES AMPA MAKAVU WENDY WILLIAMS


NI BAADA YA KUIZUNGUMZIA HII POCHI YAKE KWA SHOW KUWA Nene-Leakes-Wendy-Williams-Birkin-Bag
POCHI  AMBAYO AMEANDIKA MANENO AMBAYO HUPENDA KUYATAMKA KWENYE SHOW YAO  Real Housewives of  ATLANTA YA  AMBAYO NI ‘Close your legs to married men,’ ‘I said what I said,’ ‘So nasty and so rude,’ ‘Fix that body,’ and ‘I’m very rich bitch.’
.BEI NI $10,000…..MILIONI 16,000,000 WALEE WA VIBUBU MUPOOOOO…..tuvichange shost me sijui kama ikifika nitaenda nunua pochi viwanja vyote hv ;-)
nene-leakes-birkin-bag
YA CHINI NI POCHI YA KIM K ALIPEWA NA KANYE WE UNAIONA IPI KALI NAYO IMEBADILISHWA MUONEKANO KULINGANA NA MAOMBI YA MHUSIKA???
IPI KALI?kanye-west-nene-birkin-bag-l

Wendy I am sure people think that I’ve done something to you, maybe we had a beef or I slept with your man but none of that is true! I’ve actually only been nice to you! I gave you a beautiful black $3,200 Celine Phantom Bag to celebrate your 500th show but you haven’t spoken of that! But what you have chosen to do is constantly speak negative of me and lie on me! What you need to do is stop spewing hate! When it comes to gossip you are the lowest of the low! I know you hate because I turned down the chance to come on your Talk Show and I am sure you’re scared I will take your place (I know you have heard! Ummhmm wink wink) BE SCARED! I have a clothing line on HSN coming out in a few days and I know it must be hard for a black woman to support another black woman but you should try it sometime. PS: My Birkin is being turned into a work of art to raise money for a worthy charity something you fail to mention on your show! I don’t have one Birkin I have five now run tell that WIG.


nene-leakes and weddy

LOL WENDY WILLIAMS KACHANWAJE SASA KUINANGA POCHI YA NENE, HAYA MAMBO KILA DUNIA KUNA MTU, NENE NI MBEYA KAMA YULE SHOGA ANGU MAGOMENI TASHA SMITH na sijamsikia muda , mwanamke kapapuka yulee loh

Jumatatu, 28 Julai 2014

CHECK SHIRT ZA KWACHUKWACHU NA MTOKO WA MARTIN KADINDA.




Ni fahari ya Afrika STYLE yetu wenyewe linapokuja suala la FASHION .... MY 2014 kuangalia kutoka MARTIN KADINDA kwenda Afrika .... kupata KWACHUKWACHU shati yako sasa. Picha kwa hisani ya: ALBERT MANIFESTER

Jumamosi, 26 Julai 2014

MCHEKI KELLY ROWLAND na kijivazi KITAANI


vfgfgfWAKATI WENGINE WANAVAA NGUO ZA KUACHIA MWAILI SANA KELLY AMEAMUA KUTINGA ZAKE SHORTS NA SLEEVELESS TSHIRT NA RABA MUONEKANO PERFECT KWA WEEKEND KWENDA SHOPING AU BRANCH.CREDOT:DAILY MAILbfvdvbvfvfbvfvfvfgvdfd


MWANAMITINDO WA KITANZANIA HERIETH PAUL NDANI YA GLAMOUR MAGAZINE TAZAMA HAPA

 NI YULE MTANZANIA ANAE WAKILISHA VYEMA KWENYE FANI YA MITINDO MAJUU BASI AMEKUWA FEATURED KWA MAGAZINE YA GLAMOUR KWA MWEZI AUGUST MWAKA HUU