Muigizaji, producer na director wa filamu Abou Hermis Twaleb ambaye ni
mtanzania akiwa na makazi yake Denmark ametoa picha zake mpya akiwa
amewaka vilivyo. Filamu yake mpya ya African Boy inasubiriwa kwa hamu
kubwa na mashabiki wa filamu za kitanzania akiwa na wasanii wenzake
wengine. Jionee.........
We are in love with his styling..............
0 maoni:
Chapisha Maoni