KAMA WEWE NI MFUATILIAJI MZURI AU USHAWAHI ONA MOVIES ZA
ANIMATION BASI HUYU MDOLI BARBIE SI MGENI,KWA AMBAO HAMJUI NI MDOLI
AMABAE ANATUMIWA SANA KWEMYE MAMBO YA FASHION NA ANAHISTORIA KWAKUWA
ALIANZIA KUTUMIWA MIAKA YA 1959.
SO NIGERIA WAMEWALETA HAWA WADOLI NA KUPIGA PICHA ZA HARUSI
ZINAZOFATA MTIRIRIKO WA HARUSI ZA KIMILA ZA NIGERIA NA SWAGA ZOTE
KUANZIA KUANZIA MAVAZI,DECOR,GELE,LACE ,VITENGE.































0 maoni:
Chapisha Maoni