Kupendeza ni vile mtu unavyojipanga katika mavazi na moja ya mavazi
mhimu kwa ukanda huu wa Afrika ni vazi la kitenge ambapo naweza sema
Wanaafrika wamesahau kabisa vazi hili hebu angalia kwa makini haya
mavazi yaliyo shonwa kwa kitenge uvae upendeze
Jumanne, 23 Desemba 2014
Picha:Hii ndio mishono mipya ya vitengo kwa wakina dada, 'Fashion trend mpya tazama hapa'
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 maoni:
Chapisha Maoni