Jumapili, 28 Juni 2015
MATUMIZI YA HIGH HEELS ZINAZOTUMIWA NA MAFASHIONISTA NA MITINDO YAKE HII HAPA
KAMA ZILIVYOKUWA CL SASA HIVI HIZI HEELS NDO OBBESSION YA MAFASHIONISTAZ.MAANA WENGI MNO WANAZITINGA NA HASA RANGI NYEKUNDU INAPENDWAJE SASA ,NA BLUE KIASI.KINACHOFANYA ZIPENDE NAONA NI HII FRINGE HAPO MBELE NA KWENYE MIKANDA NA WATU SIKU HIZI NI MAFASHION DARE WANAPENDA LOUD COLORS .HIZI HEELS PIA ZINA FLATS ZAKE.
KAMA KAWA SIE 8020FASHIONS VIZURI TWALA WOTE SASA BASI MWISHO WA POST TWAKUONYESHA WAPI WEWE WAWEZA VIPATA UKAJICHANJIA ZAKO KADI UVINUNUE.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)