KAMA UNA MIDOMO(LIPS)NDOGO HAKIKISHA USIKOREZE SANA LIPSTICK YAKO ITAFANYA MIDOMO YAKO IONEKANE VIBAYA.PAKA KISHA TUMIA WANJA KUUFANYA MUONEAKANO MZURI WA MDOMO WAKO. |
KERRY WASHINGTON,LUPITA NYONGO NA RIHANNA,WOTE WAMEPAKA RANGI KULINGANA NA NGOZI ZAO. |
BAADHI YA HIZO PICHA ZITAKUONGOZA NAMNA YA KUPAKA LIPSTICK KULINGANA NA NGOZI YAKO. |
0 maoni:
Chapisha Maoni