VAZI LA SUTI NI VAZI AMBALO UNAWEZA KUVAA OFISI,KWENYE MIKUTANO,HARUSINI,KANISANI N.K. |
WANAUME WENGI HUPENDELEA RANGI NYEUSI,LAKINI TAMBUA KUWA KUNA RANGI AMBAZO HAZIJAZOELEKA ZIKIVALIWA VEMA ZINAVUTIA ZAIDI. |
HAKIKISHA SUTI YAKO INAKUKAA VIZURI SIYO BEGA MOJA KUBWA LINGINE DOGO,MIKONO MIREFU KUZIDI MKONO WAKO N.K |
PIA CHAGUA KITAMBAA KIZURI SI KILA KITAMBAA KINAFAA KWASUTI. |
0 maoni:
Chapisha Maoni