
Kazi na dawa! Baada ya kuchukua mapumziko kutoka “Monster Tour” na rapper Eminem, Rihanna amechukua fursa hiyo kujivinjari katika kisiwa cha Capri, nchini Italy . Hizi ni baadhi ya picha alizopost Twitter akiwa mapumzikoni
Mshabiki alyezidiwa na furaha akimkumbatia na kumpa mabusu




“Went snorkeling by old pirate caves” – Rihanna





0 maoni:
Chapisha Maoni