skip to main |
skip to sidebar
Neema Wa 20% Afanya Makamuzi Ndani Ya Filamu Mpya "Mbwamwitu"
|
Neema |
Actress wa Tanzania
aliyejaaliwa kipaji cha kuigiza Neema wa 20% anatarajiwa kuonekana
katika filamu mpya inayoitwa "Mbwamwitu" katika filamu hiyo Neema kama
kawaida yake amesfanya makamuzi ya kufa mtu huku akiwa na wasanii kama
Hemedy PHD.
Mbwamwitu ni short film inayosubiriwa kwa hamu.
Filamu mpya za hivi karibuni alizoigiza star huyo ni pamoja na Jicho Langu na Elimu Dunia..
0 maoni:
Chapisha Maoni