skip to main |
skip to sidebar
Winfrida Dominique Miss Universe Tanzania 2012 apania Kuingia Hollywood
|
Winfrida |
Miss Universe Tanzania 2012 Winfrida Dominique ambaye pia ni 2013 Swahili Fashion Week Best Female Model Of The Year Kwasasa yupo nchini Marekani akisomea mambo ya uigizaji wa filamu katika chuo cha New York Film Academy.
Akizungumza exlusively na Swahiliworldplanet Winfrida
mwenye vigezo vyote vya kuwa star mkubwa wa kimataifa alisema kuwa
lengo lake ni kuwa muigizaji wa Hollywood ingawa pia bado anataka kuwa
model wa kimataifa na hawezi kudharau filamu za nyumbani kwa madai sisi
wenyewe ndiyo wa kuleta mabadiliko katika filamu zetu ziwe bora ambapo
kwasasa bado zinachangamoto nyingi ikiwemo serikali kutosapoti sanaa.
"Nipo
New York nasomea acting for film katika chuo cha New York film Academy
huku nikiendelea na mambo ya mitindo kimataifa zaidi, nataka kuwa actress pia nasoma extensive training ya week nane, Dreams zangu ni Hollywood ila sitosita ku-share na film za nyumbani pia" Alisema mrembo huyo mwenye urefu wa kutosha na kupenda kuweka nywele zake kiasili.
Winfrida akiwa katika mafunzo ya ugizaji chuoni hapo
Winfrida wa pili kutoka kulia akiwa New York Film Academy.
Winfrida
amesema pia kuwa anaendelea na kazi zake za mitindo kufanya akzi
kimataifa zaidi pia. Angalia baadhi ya picha zake .....
Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.
0 maoni:
Chapisha Maoni