Pages

Subscribe:

Blogroll

Jumamosi, 2 Agosti 2014

TAMBUA VI2 USIVYOVIJUA KUTOKA KWA CHRISS BROWN

ddddddddddddd
Habari ya kwanza ni kuhusu hali ya uhusiano wake na Karrueche. Taarifa mpya ni kwamba binti huyo ameamua kuchukua njia yake baada ya kuona kwamba hana future na Chris Brown. Sources zinasema kwamba hadi sasa Karrueche amebadirisha namba yake ya simu ili Chris Brown asieweze kumpata.

4
Tatizo kubwa ni kwamba Chris anatumia muda mwingi sana kwenye starehe zaidi ya muziki na kujenga maisha ya mapenzi yao.
Lakini pia Chris Brown amemjumuisha rafiki yake Karrueche kwenye trip huko St Tropez kwenye mapumziko. Rafiki wa kike ni mtu wa karibu sana na Karrueche na haijaleta maana kwanini msichana huyo ameenda kwenye trip hiyo wakati Karrueche hajaenda.
Habari ya pili ni kwamba Chris Brown amepost picha akiwambia mashabiki wake kuhusu ujio wa video yake mpya inaitwa New Flame. Kumbuka kwamba video hiyo itakuwa na kazi kubwa ya kuvunja rekodi ya video ya Loyal ambayo inaangaliwa sana hivi sasa kwenye Youtube.

3
Habari ya tatu ni kwamba kwa mara ya kwanza Chris Brown ametumia ukurasa wake wa instagram kukuzungumzia mapito yake ya kesi za mahakamani. Kwenye post hiyo ameweka picha yake akiwa mahakamani na kusema kwamba amefanya makosa mengi kwenye maisha yake lakini hayo yote ni fundisho kwenye maisha yake. Kuna vitu anakubali anaweza kujilaumu lakini ni somo ambalo limemfanya kuwa mwanaume wa ukweli.

2
1
U

0 maoni:

Chapisha Maoni