KWA
WALE WENZANGU NATURALISTA HATA WEWE WAWEZA VAA ACCESSORIZE MWENZANGU SI
LAZIMA USUBIRI HADI NYWELE ZIKUE WAWEZA ANZA VAA VIBANIO vyA KAWAIDA NA
UKATOKELEZEA KAMA AISHA HAPA AMBAE NI MTANZANIA AISHIE KWA HAYATI
MADIBA. BOSHORI WAWEZA VAA HATA WEEKEND KUCREATE A MORE CASUAL LOOKBASI HATA VITENGE NA KANGA FUNGA KAMA TURBANHICHI NI KIBANDIKO VIMEJAA MJINI HAPA UNACHAGUA TU RANGI UIPENDAYO ILI UMECHISHE NA KIVAZI CHAKO.HAPA NI KITENGE
SCARFS MBALI MBALI PIA WAWEZA KUTUMIA HIZI NI KWA NATURAL HAIR BRIDESCREDIT:MYFRO&I
SCARFS MBALI MBALI PIA WAWEZA KUTUMIA HIZI NI KWA NATURAL HAIR BRIDESCREDIT:MYFRO&I
0 maoni:
Chapisha Maoni