KWA MUDA SASA HII NDO IMEKUWA STYLE YA NYWELE YA BABY NORTH ILA MAMA AKE NAONA KAONA ABAILI MUONEKANO KUTOKA MAWIMBI MPAKA STRAIGHT HAIR NA KA WAY KA KISHKAJI SKROLL DOWN UONEENORTH ANA NYWELE NZURI AS KACHUKUA KWA MAMA AKE ILA MWENZETU BLUE IVY WA BEYONCE NA JIGAA??MHHH FULL KIJINJA KILE KIPILIPILI HASWAA.BABY NORTH KANOGA NDANI YA DENIM ON DENIM
AM SURE MADESIGNER WAKIONA KAKUNJA USO JUA WATAANZA MPA DESIGNER SUNGLASSESCREDIT:DAILYMAIL
0 maoni:
Chapisha Maoni