Pages

Subscribe:

Blogroll

Jumanne, 16 Septemba 2014

PATA NAFASI YA KUMFAHAMU NANCY SUMARI


alizaliwa katika jiji la Arusha, Tanzania mwaka 1986 ,kwenye familia ya watoto 5, ikiwa ni pamoja na dada yake Nakaaya Sumari.

alichaguliwa kuwa Miss Tanzania mwka 2005 na baadaye Miss World 2005 ambapo alikuwa katika nafasi 6 za juu.

Pia ni mshindi wa cheo Bara Malkia wa Afrika kwa 2005 TV show " Tusker Pr Pia na mkurugenzi wa Partner Management Limited, Matukio na Corporate Communication imara.

Vilevile ni mwanzilishi mwenza wa Wanawake wa Mafanikio Awards Tanzania

Alhamisi, 11 Septemba 2014

Winfrida Dominique Miss Universe Tanzania 2012 apania Kuingia Hollywood



Winfrida
Miss Universe Tanzania 2012 Winfrida Dominique ambaye pia ni 2013 Swahili Fashion Week Best Female Model Of The Year Kwasasa yupo nchini Marekani akisomea mambo ya uigizaji wa filamu katika chuo cha New York Film Academy. Akizungumza exlusively na Swahiliworldplanet Winfrida mwenye vigezo vyote vya kuwa star mkubwa wa kimataifa alisema kuwa lengo lake ni kuwa muigizaji wa Hollywood ingawa pia bado anataka kuwa model wa kimataifa na hawezi kudharau filamu za nyumbani kwa madai sisi wenyewe ndiyo wa kuleta mabadiliko katika filamu zetu ziwe bora ambapo kwasasa bado zinachangamoto nyingi ikiwemo serikali kutosapoti sanaa.
"Nipo New York nasomea acting for film katika chuo cha New York film Academy huku nikiendelea na mambo ya mitindo kimataifa zaidi, nataka kuwa actress pia nasoma extensive training ya week nane, Dreams zangu ni Hollywood ila sitosita ku-share na film za nyumbani pia" Alisema mrembo huyo mwenye urefu wa kutosha na kupenda kuweka nywele zake kiasili.
Winfrida akiwa katika mafunzo ya ugizaji chuoni hapo
Winfrida wa pili kutoka kulia akiwa New York Film Academy.


Winfrida amesema pia kuwa anaendelea na kazi zake za mitindo kufanya akzi kimataifa zaidi pia. Angalia baadhi ya picha zake .....


Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

Jumatatu, 8 Septemba 2014

Neema Wa 20% Afanya Makamuzi Ndani Ya Filamu Mpya "Mbwamwitu"

Neema
Actress wa Tanzania aliyejaaliwa kipaji cha kuigiza Neema wa 20% anatarajiwa kuonekana katika filamu mpya inayoitwa "Mbwamwitu" katika filamu hiyo Neema kama kawaida yake amesfanya makamuzi ya kufa mtu huku akiwa na wasanii kama Hemedy PHD.
Mbwamwitu ni short film inayosubiriwa kwa hamu.

Filamu mpya za hivi karibuni alizoigiza star huyo ni pamoja na Jicho Langu na Elimu Dunia..

PICHAZZZ: New York Fashion Week




 




Victoria Beckham